Mashambulizi hatari yameendelea nchini Lebanon licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel yaliyoanza kutekelezwa ...
Wataalamu wa tiba nchini Japani wanatoa wito kwa watoto wote nchini humo kuchanjwa dhidi ya surua, huku kukiwa na ongezeko la ...
Nchini Comoro, vituo vinane vya gesi vya kibinafsi vimetoa taarifa ya kulaani hitilafu kubwa katika usambazaji wa mafuta na ...
Marekani na Iran zilimaliza mazungumzo yao ya ana kwa ana siku ya Jumapili bila makubaliano. Maafisa wa Marekani walisema yalivunjika kutokana na Iran kukataa kujitolea kuachana na mpango wao wa silah ...
"Imepita wiki mbili tangu serikali ya DRC itangaze mlipuko wa Ebola... Hadi sasa, kesi wagonjwa 48 waliothibitishwa na wanaowezekana kuambukizwa wameripotiwa, na watu 31 wamefariki," Mkurugenzi Mkuu ...
"Siku ya kwanza, niliuliza 'kwa nini hakuna wanawake tena?'," anasema Hind Kabawat. Yeye ni waziri wa masuala ya kijamii na kazi wa Syria , waziri pekee mwanamke katika serikali ya mpito aliyepewa ...
Mtoto wa kiume amekuwa mtoto wa kwanza nchini Uingereza kuzaliwa kwa kutumia tumbo ya uzazi lilopandikizwa kutoka kwa mtu aliyefariki. Grace Bell, ambaye ana umri wa miaka 30 na alizaliwa bila tumbo ...
Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.
DODOMA: Wizara ya Maliasili na Utalii imewahakikishia wawekezaji na wadau wa michezo ushirikiano wa kutosha kuwezesha ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya kisasa ili kuongeza thamani ya vivutio vya ...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika ...
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete, (JKCI), imeanza kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma za upandikaziji ...